Chad wa Mercia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chad katika dirisha la kioo cha rangi, Holy Cross Monastery, West Park, New York.

Chad (au Ceadda; alifariki 2 Machi 672) alikuwa abati wa monasteri mbalimbali za Uingereza, halafu askofu wa York na hatimaye wa Lichfield.

Pamoja na kaka yake Cedd anasifiwa kwa kuingiza Ukristo katika ufalme wa Mercia[1].

Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Machi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Leo Sherley-Price (1990). Ecclesiastical History of the English People by Bede. Penguin Classics. ISBN 0-14-044565-X. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bassett, Steven, Ed. The Origins of the Anglo-Saxon Kingdoms. Leicester University Press, 1989. ISBN 978-0-7185-1367-2Script error: No such module "check isxn"..
  • Fletcher, Richard. The Conversion of Europe: From Paganism to Christianity 371–1386. HarperCollins, 1997. ISBN 0-00-255203-5Script error: No such module "check isxn"..
  • Mayr-Harting, Henry. The Coming of Christianity to Anglo-Saxon England. 1991. Pennsylvania State University Press. ISBN 978-0-271-00769-4Script error: No such module "check isxn"...
  • Rudolf Vleeskruijer The Life of St.Chad, an Old English Homily edited with introduction, notes, illustrative texts and glossary by R. Vleeskruyer, North-Holland, Amsterdam (1953)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chad wa Mercia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.