Nenda kwa yaliyomo

Sitini na moja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sitini na moja ni namba inayoandikwa 61 kwa tarakimu za kawaida na LXI kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 60 na kutangulia 62.

61 ni namba tasa.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.