Nenda kwa yaliyomo

Theodor Seuss Geisel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theodor Seuss Geisel

Amezaliwa 2 Machi 1904
Massachusetts, Marekani
Amekufa 24 Septemba 1991
California, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Helen Palmer Geisel (1927–1967) Audrey Stone Dimond (1968–1991)
Tovuti http://www.seussville.com/

Theodor Seuss Geisel (2 Machi 190424 Septemba 1991) alikuwa mwandishi na mchoraji vielezo kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa vitabu vyake kwa watoto alivyoviandika chini ya jina la Dr. Seuss.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodor Seuss Geisel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.