5 Machi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 5 Machi ni siku ya 64 ya mwaka (ya 65 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 301.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teofilo wa Kaisarea, Kononi mtunzabustani, Papa Lucius I, Fokas wa Sinope, Adriano wa Kaisarea, Gerasimo wa Yordani, Kieran wa Saighir, Virjili wa Arles, Yohane Yosefu wa Msalaba n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 5 Machi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.