Allan Nevins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allan Nevins
Faili:Allannevins.jpg
Nchi Marekani
Ndoa Mary Fleming Richardson
Allan Nevins

Allan Nevins (20 Mei 18905 Machi 1971) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani.

Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili, kwanza mwaka wa 1933 kwa wasifu yake ya Grover Cleveland, tena mwaka 1937 kwa wasifu yake ya Hamilton Fish.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allan Nevins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.