Nenda kwa yaliyomo

Virjili wa Arles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Virjili wa Arles (karne ya 6610 hivi) alikuwa mmonaki, halafu abati na hatimaye Askofu mkuu wa Arles (Ufaransa) miaka 588 - 610.

Anakumbukwa kwa mafungamano yake na Papa Gregori I, ambayo kwanza yalikuwa mazuri, lakini baadaye yakavurugika kwa sababu mbalimbali.

Alipokea vizuri wamisionari Augustino wa Canterbury na wenzake waliotumwa na Papa huyo huko Uingereza.

Habari zake ziliandikwa na Gregori wa Tours.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martyrologium Romanum
  2. "Ökumenisches Heiligenlexikon".
  • (Kilatini) Mabillon, Acta SS., O.S.B., II (Paris, 1669);
  • (Kilatini) Acta Sanctorum, March, I, 397-402 (Paris, 1865);
  • (Kifaransa) Andrien, Un insigne plagiat: faussete des actes de S. Virgile in Bulletin de la Société scientifique des Basses-Alpes, III (Digne, 1888);
  • (Kilatini) Gregory the Great, Epistolae in Patrologia Latina, LXXVII;
  • (Kiingereza) William E. Klingshirn - Caesarius of Arles : The Making of a Christian Community in Late Antique Gaul - Cambridge University Press, 1994. ISBN 0-521-52852-6, p. 86 ici.
  • (Kifaransa) Paul-Albert Février (sous la direction de) - La Provence des origines à l'an mil - Editions Ouest-France, 1989. ISBN 2-7373-0456-3
  • (Kifaransa) Gregory, Odo, Henri Léonard Bordier, Histoire ecclésiastique des Francs - Firmin Didot, 1861, p. 205 ici
  • (Kifaransa) Alban Butler, Vies des pères des martyrs et des autres principaux saints – Louvain, 1828 ; Tome 3, p. 361 qui
  • (Kifaransa) Charles-Louis Richard, Bibliothèque sacrée, ou Dictionnaire universel historique, dogmatique, canonique, géographique et chronologique des sciences ecclésiastiques, 1827, p. 69.
  • (Kifaransa) Joseph Hyacinthe Albanés, Gallia christiana novissima, Arles (Valence, 1900); ouvrage accessible sur Gallica qui
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.