Mmisionari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wamisionari)
Jump to navigation Jump to search

Mmisionari (au Mwanamisheni) ni mtu wa dini fulani ambaye anafanya kazi ya kuieneza kwa wasio waumini wa dini hiyo. Kwa kawaida mhusika ni Mkristo, lakini si lazima.

Jina linatokana na neno la Kilatini missio lenye maana ya utume (kutuma au kutumwa).[1]

Mara nyingi, kazi hiyo inakwenda sambamba na utoaji wa huduma za kijamii, hasa elimu, afya, utetezi wa haki, maendeleo katika uchumi n.k.[2][3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Online Etymology Dictionary. Etymonline.com. Retrieved on 2011-01-19.
  2. Missionary | Define Missionary at Dictionary.com. Dictionary.reference.com. Retrieved on 2011-01-19.
  3. Thomas Hale 'On Being a Missionary' 2003, William Carey Library Pub, ISBN 0878082557

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: