Ludwig Quidde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ludwig Quidde

Ludwig Quidde (23 Machi 18585 Machi 1941) alikuwa mwanahistoria na mwanasiasa kutoka nchi ya Ujerumani. Alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa, hasa wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Mwaka wa 1927, pamoja na Ferdinand-Edouard Buisson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ludwig Quidde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.