21 Machi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Feb - Machi - Apr
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori21 Machi ni sikusare ya bubujiko. Inasherehekewa kama Nouruz au Mwaka Mpya katika nchi na jamii za kidini zinazofuata kalenda ya Kiajemi. Ni sikukuu katika nchi zifuatazo: Uajemi, Afghanistan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan, Azerbaijan, Turkmenistan na Kashmir. Katika Uajemi na Afghanistan inanazisha mwaka mpya rasmi; nchi nyingi hutumia kalenda ya Gregori kama kalenda rasmi na hapa 21 Machi ni sikukuu ya kiutamaduni.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]