Augustino Zhao Rong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Augustino Zhao Rong (Wuchuan, 1746 hivi - Chengdu 21 Machi 1815) alikuwa padri wa China aliyefia Ukristo pamoja na wengine wengi.

Kabla ya kuongokea dini hiyo alikuwa askari.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu mwaka 2000.

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Augustino Zhao Rong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.