Nenda kwa yaliyomo

Majira ya kuchipua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maua ya rangi mbalimbali ya majira ya kuchipua.

Majira ya kuchipua (kwa Kiingereza Spring) ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya wastani.

Yanafuata majira ya baridi (kwa Kiingereza "winter") na kutangulia majira ya joto (kwa Kiingereza "summer").

Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo kaskazini au kusini kwa ikweta. Hata katika nchi ileile, kwa mfano Kenya, majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majira ya kuchipua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.