Angela Merichi
Mandhari

Angela Merichi (Desenzano, Brescia, 21 Machi 1474 – Brescia, 27 Januari 1540) alikuwa bikira wa kaskazini mwa Italia ambaye, akifuata kanuni ya Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, alikusanya pamoja wasichana, ambao aliwafundisha kutenda matendo ya huruma.
Mwaka 1535, huko Brescia, alianzisha shirika la Waursula, chama cha wanawake waliojishughulisha kuwafundisha wasichana maskini jinsi ya kuwa Wakristo wema [1].
Ametambuliwa na Papa Klementi XIII kuwa mwenye heri tarehe 30 Aprili 1768, halafu na Papa Pius VII kuwa mtakatifu tarehe 24 Mei 1807.
Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 39-42
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 34
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 28-29
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 44
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Q. Mazzonis, "The Impact of Renaissance Gender-Related Notions on the Female Experience of the Sacred: The Case of Angela Merici's Ursulines," in Laurence Lux-Sterritt and Carmen Mangion (eds), Gender, Catholicism and Spirituality: Women and the Roman Catholic Church in Britain and Europe, 1200-1900 (Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2011),
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia: St. Angela Merici
- Founder Statue at St. Peter's Basilica
- Places in the life of St. Angela Merici Ilihifadhiwa 8 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- St. Angela Merici Ilihifadhiwa 22 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Ursuline Sisters of Cincinnati follow her teachings: St. Angela Merici Ilihifadhiwa 26 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |