Nenda kwa yaliyomo

Lupisino wa Condat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wat. Lupisino na Romano katika dirisha la kioo cha rangi.

Lupisino wa Condat (alifariki 486 hivi) alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kufiwa mke wake, alikwenda kuishi na kaka yake mkaapweke Romano wa Condat[1].

Pamoja naye alianzisha monasteri mbili huko Condat na Lauconne katika eneo la milima ya Jura, leo nchini Ufaransa, akawa abati wake[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Machi[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Catholic.org, accessed February 8, 2007
  2. Vita Sanctorum Romani, Lupicini, Eugendi [ibid., III, 131 sqq.; cf. Benoît, "Histoire de St-Claude", I (Paris, 1890); Besson, "Recherches sur les origines des évêchés de Genève, Lausanne, et Sion" (Fribourg, 1906), 210 sqq.]
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/46320
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 73-74
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 62-63

Marejeo ya lugha nyingine

[hariri | hariri chanzo]
  • The Life of the Jura Fathers: The Life and Rule of the Holy Fathers Romanus, Lupicinus, and Eugendus, Abbots of the Monasteries in the Jura Mountains, Trans. by Tim Vivian, Kim Vivian, and Jeffrey Burton Russell, (Spencer, Mass.: Cistercian Publications, 1999).
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.