Phyllis McGinley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Phyllis McGinley (21 Machi 190522 Februari 1978) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1961 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Phyllis McGinley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.