Nenda kwa yaliyomo

Yakobo muungamadini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakobo muungamadini (karne ya 8 - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 824 hivi) tangu ujanani alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Theodoro wa Studion[1]. Alidhulumiwa muda mrefu na serikali ya Dola la Roma Mashariki na hatimaye aliuawa kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Machi[3][4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Saint Theodore composed a homily in honour of this Saint James (PG 99, 1353–1356)."
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/46330
  3. Martyrologium Romanum
  4. Great Synaxaristes: (in Greek) Ὁ Ἅγιος Ἰάκωβος ὁ Ὁμολογητής. 21 ΜΑΡΤΙΟΥ. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.