DJ Premier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
DJ Premier

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Christopher Edward Martin
Amezaliwa 21 Machi 1966 (1966-03-21) (umri 57)
Houston, Texas, Marekani
Asili yake Houston, Texas, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, DJ
Ala Drum machine
Kinanda
Sampler
Turntable
Miaka ya kazi 1987–mpaka sasa
Studio Wild Pitch/EMI (1987–1990)
Chrysalis/EMI (1991–1998)
Virgin/EMI (1998–2003)
Year Round (2003–)

Christopher Edward Martin (amezaliwa tar. 21 Machi 1966[1]) ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.

Kiasili anatokea mjini Houston, lakini ameishi zaidi mjini Brooklyn, New York, kwa ajili ya shughuli zake za kitaalamu. Premier anatazamika kama ndiye mbunifu kwa staili ya "hardcore East Coast hip-hop inayojulikana sana kwa ngoma zake nzito na michano."[2]

Gazeti la The Source limempa jina DJ Premier kuwa kama mmoja kati ya watayarishaji watano wakubwa wa muziki wa hip hop katika historia, wakati wahariri wa About.com wamempa cheo cha #1 katika orodha ya watayarishaji Bora-50.[3]

Matayarisho[hariri | hariri chanzo]

Sampuli[hariri | hariri chanzo]

Athira[hariri | hariri chanzo]

Mahusiano yake na wasanii[hariri | hariri chanzo]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. allmusic Biography
  2. Chris Ryan. The Beatnuts Biography. Rolling Stone. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-03-14. Iliwekwa mnamo 2009-10-13.
  3. Henry Adaso; Ivan Rott, Renato P., Bhaskar S., Henry A.. Top 50 Hip-Hop Producers 8. About.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-05-10. Iliwekwa mnamo 2009-10-13.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DJ Premier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.