Nenda kwa yaliyomo

Rolling Stone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa makala ya bendi ya muziki, tazama The Rolling Stones."

Rolling Stone ni gazeti la habari za tamaduni mashuhuri kutoka nchini Marekani. Inajishuhulisha sana na makala kuhusu muziki, na vilevile michezo, filamu, na watu maarufu. Pia inajishughulisha na filamu zilizofanya vizuri na ripoti ya mapokeo za muziki, yaani inatoa orodha ya "wasanii wakali/albamu kali za karne", na maoni na majadiliano ya kisiasa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rolling Stone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.