Nenda kwa yaliyomo

Guru (rapa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guru

Maelezo ya awali
Amezaliwa 17 Julai 1966 (1966-07-17) (umri 58)
Asili yake Boston, Massachusetts
Aina ya muziki Hip Hop, Jazz
Kazi yake Rapa, Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1987–2010
Studio Wild Pitch Records (1987–1990)
Virgin Records (1991–2003)
Ill Kid Records (1995-2005)
7 Grand (2003–2010)

Guru (amezaliwa kama Keith Edward Elam, mnamo 17 Julai 1966 - 19 Aprili 2010), mjini Roxbury,[1] alikuwa rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi na mwandishi mkuu wa kundi la hip hop la Gang Starr, akiwa pamoja na DJ Premier.

Kwa kufuatia mfululizo wake wa albamu ya Jazzmatazz, huyu pia anafikirika kama mmoja kati wa waanzilishi wa muziki wa hiphop/jazz. Jina la Guru linasimama kama "Gifted Unlimited Rhymes Universal" na kuna kipindi hutumia kama "God is Universal, au Ruler Universal".

Albamu ya Kujitegemea

[hariri | hariri chanzo]
Maelezo ya Albamu
Version 7.0: The Street Scriptures
 • Imetolewa: 10 Mei 2005
 • Billboard 200 chati: -
 • R&B/Hip-Hop chati: #54
 • Singles: "Cave In", "Step In The Arena 2" & "Hood Dreamin"
Guru 8.0: Lost and Found
 • Imetolewa: 19 Mei 2009
 • Billboard 200 chati: -
 • R&B/Hip-Hop chati: -
 • Singles: "Divine Rule", "Fastlane", "Ride", "After Time & "No Gimmick Sh*t"

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
 • Grand Theft Auto: Liberty City Stories 2005 kama 8-Ball
 • Kung Faux 2003 kama Voice Over/Various
 • Urban Massacre 2002 kama Cereal Killah
 • Grand Theft Auto III 2001 kama 8-Ball
 • 3 A.M. 2001 kama Hook-Off
 • Train Ride 2000 kama Jay
 • The Substitute 2: School's Out 1998 kama Little B.
 • Who's the Man? 1993 kama Martin Lorenzo
 1. Several seemingly reliable sources state that he was born in 1966, e.g. Birchmeier, Jason "Gang Starr Biography", Allmusic, Macrovision Corporation, and "Afternoon Fix: Celebrity Birthdays", MTV, retrieved 23 Septemba 2008

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guru (rapa) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.