Teofilo wa Kaisarea
Mandhari
Teofilo wa Kaisarea (alifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 195 hivi) alikuwa askofu wa 3 wa mji huo[1], maarufu kwa hekima na uadilifu[2].
Alikuwa mwalimu wa Klemens wa Aleksandria.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Maandishi yake
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |