1953
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1949 |
1950 |
1951 |
1952 |
1953
| 1954
| 1955
| 1956
| 1957
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1953 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 29 Mei - Tenzing Norgay na Edmund Hillary ni watu wa kwanza kufikia kilele cha Mount Everest, mlima mrefu kabisa duniani.
- 18 Juni - Nchi ya Misri imetangazwa kuwa jamhuri.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 1 Januari - Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
- 22 Februari - Viktor Kozin, mhandisi wa meli kutoka Urusi
- 18 Machi - Franz Wright, mshairi kutoka Marekani
- 9 Mei - Bernard Kamilius Membe, mwanasiasa wa Tanzania
- 16 Mei - Pierce Brosnan, mwigizaji filamu kutoka Ireland
- 21 Juni - Benazir Bhutto, mwanasiasa kutoka Pakistan
- 23 Juni - Filbert Bayi, mwanariadha kutoka Tanzania
- 24 Juni - Aloyce Bent Kimaro, mwanasiasa wa Tanzania
- 24 Juni - William Moerner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
- 25 Agosti - Maurizio Malvestiti, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 26 Agosti - Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa Tanzania
bila tarehe
- Isabel Hofmeyr, mwandishi wa Afrika Kusini
- Wanjiru Kihoro, mwandishi kutoka Kenya
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Machi - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu mwaka 1924
- 13 Juni - Douglas Southall Freeman, mwandishi kutoka Marekani
- 8 Novemba - Ivan Bunin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1933
- 27 Novemba - Eugene O'Neill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936
- 14 Desemba – Marjorie Rawlings, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939
- 19 Desemba - Robert Millikan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: