Robert Millikan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Millikan (1891)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Robert Andrews Millikan (22 Machi 186819 Desemba 1953) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alijishughulikia na vipimo vya umeme wa elementi. Mwaka wa 1923 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Millikan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.