Isabel Hofmeyr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isabel Hofmeyr (amezaliwa 1953) ni mwandishi wa Afrika Kusini na profesa wa fasihi katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand. Hasa aliandika insha za kiuhakiki. Mwaka wa 2004, alipata Tuzo ya Thomas Pringle kwa ajili ya insha zake za kifasihi.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • 'We spend our years as a tale that is told': Oral Historical Narrative in a South African Chiefdom (1994)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isabel Hofmeyr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.