Filbert Bayi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Filbert Bayi (amezaliwa 23 Juni 1953) ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1980 kule Urusi upande wa mbio za umbali wa katikati na kushinda nishani ya fedha katika mbio ya mita 3000. Mwaka wa 1974 alikuwa ameboresha rekodi ya mbio za mita 1500, na mwaka wa 1975 aliboresha rekodi ya mbio za maili moja. Bayi ni mwanamichezo aliyejenga jina la taifa lake Tanzania kwa heshima ya michezo. Mara baada ya uhuru wa Tanganyika 1961 karibu michezo yote ilipewa umuhimu na kuvutia wote, watazamaji na wachezaji. Bayi hakika ni mtu wa kuheshimika sana.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filbert Bayi kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.