Nenda kwa yaliyomo

Mwanamichezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamichezo

Mwanamichezo ni mtu ambaye anajishughulisha na aina fulani ya michezo ili apate kuwa na afya njema au kwa kushindana na wanamichezo wengine.

Kuna pia wanamichezo bora wanaotekeleza michezo fulani kwa malipo. Pale ambapo wanamichezo wanazidisha mazoezi na mashindano wanaweza hata kuhatarisha afya yao.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanamichezo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.