Maurizio Malvestiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maurizio Malvestiti.

Maurizio Malvestiti (amezaliwa Marne, 25 Agosti 1953) ni askofu Mkatoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 11 Juni 1977.

Tarehe 26 Agosti 2014 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Lodi.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.