Frédéric Chopin
Frédéric Chopin (jina la Kipoland: Fryderyk ; 22 Februari 1810 kulingana na cheti cha kuzaliwa - 17 Oktoba 1849; pengine, tarehe 1 Machi au 10 Machi zimetajwa kama siku yake ya kuzaliwa) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda mashuri kutoka nchini Poland. Ni mtunzi muhimu kabisa kwa nchi ya Poland. Ingawaje kuna baadhi ya tungo zake zilikuwa vigumu sana kuzipiga, na zilibahatika kuwa moja kati ya tungo zilizowahi kutungwa vema.[1][2]
Alizaliwa katika kijiji kidogo cha Żelazowa Wola karibu na Warshawa wakati sehemu ile ilikuwa chini ya utawala wa Urusi. Baba alikuwa Nicolas Chopin Mfaransa aliyeishi Poland kama mwalimu na mamake Justyna Krzyżanowska aliyetoka katika familia ya makabaila maskini wa Poland. Frederic alianza mapema kupiga kiananda akaonyesha uwezo mkubwa. Alipofikia umri wa miaka 20 alisafiri Ufaransa alipotoa maonyesho ya muziki yake. 1830 baba alimshauri asirudi Poland kwa sababu ya uasi wa Wapoland dhidi ya utawala wa Kirusi. Baada ya kukandamizwa kwa uasi huu Frederic alibaki nje ya nchi yake ya kuzaliwa akaendelea kuishi na kufanya kazi mjini Paris hasa.
Ni hapa Paris ya kwamba alikuwa maarufu kama mtunga muziki. Alianzisha mapenzi na wanawake mbalimbali lakini hakubahatika kufunga ndoa. Afya yake ilikuwa hafifu muda wote akafa mjini Paris kwa sababu ya ugonjwa wa kifua kikuu mwaka 1849 akiwa na umri wa miaka 39 pekee. Alizikwa Ufaransa lakini moyo wake ulipelekwa Poland na kuzikwa huko katika kanisa mjini Warshawa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Chopin Music Ilihifadhiwa 20 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. - Website and forum dedicated to the music of Chopin, including recordings, sheet music and image galleries.
- Chopin: the poet of the piano - A favourite Chopin place since 1999 with biography, images, complete music and score, discussion forum, work list and analysis, quizzes and contests, noted interpreters/great pianists...
- Internet Chopin Information Centre Ilihifadhiwa 25 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine., Chopin portal including calendar, catalogues, other information about Chopin, Chopin on the Web, and pianists' biographical notes.
- Wasifu
- Online biography of Chopin Ilihifadhiwa 23 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine.
- Brief Chopin essay at Classical Music Pages Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2009 kwenye Wayback Machine.
- The Frederick Chopin Society Ilihifadhiwa 8 Februari 2005 kwenye Wayback Machine. in Warsaw. Contains a biography, an outline of Chopin's works and musical style and pictures of original manuscripts.
- Biography Ilihifadhiwa 15 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. with Image Gallery and Citations from Chopin Music Ilihifadhiwa 20 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Fryderyk Chopin: Poet of the Piano Ilihifadhiwa 9 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Biographies (Project Gutenberg e-texts):
- Life of Chopin, by Franz Liszt Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Frederick Chopin as a Man and Musician, by Frederick Niecks Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Chopin: The Man and his Music, by James Huneker Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2004 kwenye Wayback Machine.
- Frédéric Chopin discography katika MusicBrainz
- Tungo za muziki
- Free Sheet Music Ilihifadhiwa 26 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. from Chopin Music Ilihifadhiwa 20 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- www.kreusch-sheet-music.net Chopin's complete piano works
- Frédéric Chopin ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Chopin scores Ilihifadhiwa 25 Januari 2005 kwenye Wayback Machine. from Mutopia Project
- Free scores by Frédéric Chopin katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Chopin Early Editions, a collection of over 400 first and early printed editions of musical compositions by Frédéric Chopin published before 1881.
- Baadhi ya rekodi
- Performances by Michael Sayers: Preludes Op. 28 Nos. 1 and 20 Ilihifadhiwa 4 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Performances by Donald Betts: 3 ballades, 3 études, 2 nocturnes, 1 mazurka
- Performances by Paul Cantrell from In the Hands
- Performances by Alberto Cobo: Sonata #3, Ballade #1 & Fantasie-Impromptu, Sonata #2, Scherzo #2, Prelude #16
- Free MIDI Downloads Ilihifadhiwa 26 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. from Chopin Music Ilihifadhiwa 20 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Various performers from PianoParadise (some links are broken)
- MIDI files from Kunst der Fuge
- Preludes No. 4 and No. 6 arranged for voices, guitar, and bass by the John Link Project
- Performances of works by Frédéric Chopin in MP3 and MIDI formats at Logos Virtual Library
- Artanhime Ilihifadhiwa 11 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine. - Chopin's mp3 Collection.
- Free Chopin Downloads (MP3 and WMA) Ilihifadhiwa 15 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- the original Chopin Ilihifadhiwa 24 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine. Chopin as played by Angela Lear from autograph manuscripts. "Hear what Chopin really intended" BBC Music Magazine; "...Her Chopin recitals were altogether exceptional for perfect interpretation and maximum faithfulness to Chopin's intentions " Le Matin.
- Mengineyo
- The Chopin Project
- University of Michigan Chopin Project Ilihifadhiwa 17 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- International Frederick Chopin Piano Competition Ilihifadhiwa 10 Desemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Chopin2010 a/k/a "The Chopin Currency" - a daily compendium of Chopiniana: news, reviews, videos, blogs, and more leading up to the Chopin Bicentennial in 2010
- Valldemossa, Majorca small town whose major asset is the remains of The Royal Chartreuse of Jesus Nazareth where Chopin lived for a short period with George Sand (the memories of this period are recorded in her book "Winter in Majorca") in 1838-39.
- The International Foundation Can Mossenya - Friends of Jorge Luis Borges Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine. Historic estate, a significant part of The Royal Chartreuse of Jesus of Nazareth.
- The safekeeping of a large collection of original Chopin manuscripts, including Concerto in F-minor among a total of 49 compositions and other priceless Polish art treasures in Canada during World War II, is documented by new research in 2004-2005 which was published in Chopin in the World.
- Chopin and The Nightingale is a dramatic reading with music in six acts, written by Cecilia and Jens Jorgensen for narrator, two sopranos and piano. It enacts the true-life romance of Chopin and Jenny Lind, which happens to resemble "The Nightingale" story of Hans Christian Andersen. When Chopin dies of tuberculosis in the arms of Jenny Lind, she decides to devote the rest of her life to paying tribute to his music. "Good Morning!", says the emperor / composer the next day. Performed - to celebrate the new Europe and World TB Day - at Brussels (2003), Warsaw (2004), Toronto (2005) and New York State (2008).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Musical Blue Book of America (kwa Kiingereza). Musical Blue Book Corporation. 1917.
- ↑ Poland (kwa Kiingereza). Poland America Company. 1931.