Mombasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mombasa
Mji wa Mombasa
Mji wa Mombasa

Bendera

Nembo
Mombasa is located in Kenya
Mombasa
Mombasa
Mahali pa mji wa Mombasa katika Kenya
Anwani ya kijiografia: 4°03′S 39°40′E / 4.05°S 39.667°E / -4.05; 39.667
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Kaunti Mombasa
Idadi ya wakazi
 - 939 370
Mombasa

Mombasa ni mji mkubwa wa pili wa Kenya wenye bandari muhimu zaidi Afrika Mashariki. Mji huu uko kwenye mwambao wa Bahari Hindi. Kuna wakazi zaidi ya milioni moja kwenye kisiwa cha Mombasa pamoja na sehemu zake barani.

Mombasa ni kitovu cha utalii wa pwani ya Kenya. Watalii walio wengi hufika kweye kiwanja cha ndege cha Moi.

Kati ya ishara ya mji ni Boma la Yesu na pembe za Mombasa.

Kiswahili cha Mombasa huitwa Kimvita.

Mombasa na Seattle ni "miji-ndugu".


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: