Nenda kwa yaliyomo

Molo, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Molo)


Molo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Nakuru.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 107,806[1].

Molo ni pia kata ya eneo bunge la Molo[2].

Molo inatoa viazi kwa wingi.

  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine