Nyamira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nyamira
Nchi Kenya
Mkoa Nyanza
Wilaya Nyamira
Idadi ya wakazi
 - 10 000

Nyamira ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Nyanza upatikanao nchini Kenya. Huu ndio mji mkuu wa Wilaya ya Nyamira.