Kaunti ya Kirinyaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Kirinyaga
Kaunti
The Boys and The Cows.jpg
Vijana wakilima katika mradi wa umwagiliaji wa Mwea
Coat of Arms of Kirinyaga County.png
Nembo ya Serikali
Kirinyaga County in Kenya.svgKirinyaga County in Kenya.svg
Kaunti ya Kirinyaga katika Kenya
NchiFlag of Kenya.svg Kenya
Namba20
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Kati
Makao MakuuKutus(Rasmi)
Miji mingineKerugoya, Sagana, Wang'uru
GavanaAnne Mumbi Waiguru
Naibu wa GavanaPeter Njagi Ndambiri
SenetaDaniel Karaba Dickson
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Purity Wangui Ngirici
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Kirinyaga
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa20
Maeneo bunge/Kaunti ndogo4
Eneo1,205.4 km2 (465.4 sq mi)
Idadi ya watu528,054
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti kirinyaga.go.ke

Kaunti ya Kirinyaga ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Kerugoya/Kutus.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kirinyaga imepakana na Nyeri (magharibi), Murang'a (kusini magharibi) na Embu (mashariki).

Mlima kenya na msitu unaouzunguka uko kaskazini mwa kaunti. Theluji ambayo huyeyuka kutoka Mlima Kenya hutengeneza mito, k.v. Mto Thiba na Mto Kiganjo. Mito mingine iliyo katika kaunti hii ni Mto Sagana, Mto Nyamindi, Mto Rupingazi, Mto Thiba, Mto Rwamuthambi and Mto Ragati[1].

Kirinyaga huwa na tabianchi tropiki na hupata misimu miwili ya mvua.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kirinyaga imegawanywa katika maeneo yafuatayo:

Eneo Bunge Wadi
Mwea Mutithi, Kangai, Wamumu, Nyangati, Murindiko, Gathigiriri, Teberer
Gichugu Kabare Baragwi, Njukiini, Ngariama, Karumandi
Ndia Mukure, Kiine, Kariti
Kirinyaga Central Mutira, Kanyekini, Kerugoya, Inoi

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kirinyaga County Government. Iliwekwa mnamo 2018-04-30.