Wilaya ya Kirinyaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Kirinyaga
Mahali paWilaya ya Kirinyaga
Mahali paWilaya ya Kirinyaga
Mahali pa Wilaya ya Kirinyaga katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kerugoya
Eneo
 - Jumla 1,205.4 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 528,054

Wilaya ya Kirinyaga ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kerugoya.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kirinyaga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kirinyaga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.