Kapsabet
Jump to navigation
Jump to search
Kapsabet | |
Mahali pa katika Kenya | |
Majiranukta: 0°12′N 35°6′E / 0.2°N 35.1°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nandi |
Idadi ya wakazi | |
- | 91,030 |
Kapsabet ni mji wa Kenya, kaunti ya Nandi, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Wakazi walikuwa 91,030 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived Januari 9, 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kapsabet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |