Nenda kwa yaliyomo

Kitui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitui


Kitui ni makao makuu ya kaunti ya Kitui, Kenya[1].

Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji huo ulikuwa na wakazi 155,896[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]