Mandera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mandera
Mandera is located in Kenya
Mandera
Mandera
Mahali pa mji wa Mandera katika Kenya
Majiranukta: 3°55′0″N 41°50′0″E / 3.91667°N 41.83333°E / 3.91667; 41.83333
Nchi Kenya
Kaunti Mandera
Idadi ya wakazi
 - 87,692

Mandera ni mji wa Kenya kaskazini mashariki ambao ni makao makuu ya kaunti ya Mandera.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 87,692[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.