Kaunti ya Lamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Lamu
Kaunti
Lamu, Lamu Island, Kenya.jpg
Kisiwa cha Lamu
Lamu County in Kenya.svgLamu County in Kenya.svg
Kaunti ya Lamu katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 5
Ilianzishwa Tarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Pwani
Makao Makuu Lamu
Miji mingine Mkomani, Hindi, Hongwe, Bahari, Witu, Faza, Kiunga, Basuba
Gavana Fahim Yasin Twaha
Naibu wa Gavana Abdulhakim Aboud Bwana
Seneta Anwar Loitiptip
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Ruweida Mohamed Obo
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Lamu
Eneo 6,273.1 km2 (2,422.1 sq mi)
Idadi ya watu 101,539 [1]
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti lamu.go.ke

Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za pwani. Inapakana na Kaunti za Garissa na Tana River. Pia inapakana na Jamuhuri ya Shirikisho la Somalia na Bahari Hindi. Makao makuu yako katika Lamu.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Imegawanyika katika wilaya mbili: Lamu Magharibi na Lamu Mashariki.

Maeneo ya Lamu
Eneo Bunge Wadi
Lamu Magharibi Shella, Mkomani, Hindi, Mkunumbi, Hongwe, Bahari, Witu
Lamu Magharibi Faza, Basuba, Kiunga

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kenya Census 2009. Scribd.com. Iliwekwa mnamo 2013-12-10.