Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Lamu Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Lamu Magharibi ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Lamu, huku likiwa moja kati ya majimbo mawili ya Uchaguzi katika kaunti hiyo ya pwani. Jimbo hili lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Lamu county.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Lamu Magharibi lilianza wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Abu Somo.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966Abu SomoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1969Abu SomoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1970Mohamed M. ModhihiriKANUUchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1974Abdillahiman Omar ChekaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Abdillahiman Omar ChekaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Omar Twalib MzeeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Abdul Aziz BujraKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Abdukarim Mohamed AliKANU
1997Fahim Yasin TwahaKANU
2002Fahim Yasin TwahaKANU
2007Fahim Yasin TwahaNARC-K

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Baharini6,380
Dide Waride3,294
Hindi Magongoni5,303
Hongwe6,538
Langoni8,619
Mapenya5,334
Matondoni2,797
Mkomani6,819
Mkunumbi1,678
Mokowe3,121
Mpeketoni9,977
Ndambwe505
Shella / Manda2,386
Witu3,830
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiaandikisha
Baharini2,228
Dide Waride1,380
Hindi/Magogoni1,921
Hongwe2,581
Langoni / Manda / Shella4,649
Mapenya1,697
Mkomani / Matondoni4,780
Mkunumbi1,606
Mokowe1,466
Mpeketoni3,926
Witu2,783
Jumla29,017
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]