Orodha ya Marais wa Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bendera ya Rais ya Uhuru Kenyatta
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Ukarasa huu una orodha ya marais wa Kenya:

Orodha ya wakuu wa serikali ya Kenya[hariri | hariri chanzo]

Jamhuri ya Kenya (1964 - hadi leo)[hariri | hariri chanzo]

Jubilee Alliance
( #F5051c)
NARC/PNU
( #0000CD)
KANU
( #2BAE45)
# Picha Jina Kipindi Muda Mwaka wa Uchaguzi/Asilimia ya wapiga kura Chama
1 Jomo Kenyatta.jpg Jomo Kenyatta
(1893 – 1978)
1 12 Desemba
1964
6 Desemba
1969
1964
KANU
2 6 Desemba
1969
14 Octoba
1974
1969 — Hakupingwa
3 14 Octoba
1974
22 Agosti
1978 (Alifariki akiwa Rais)
1974 — Hakupingwa
Alikuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
Katika muda huu, Makamu wa Rais Daniel Arap Moi alikuwa anasimamia Cheo/Kiti cha Rais.
2 Kenya-moi.jpg Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
4 8 Novemba
1979
26 Septemba
1983
1979 — Hakupingwa [1] KANU
5 26 Septemba
1983
21 Machi
1988
1983 — Hakupingwa [2]
6 21 Machi
1988
29 Desemba
1992
1988 — Hakupingwa [3]
Katika wakati wa Daniel arap Moi na Kenyatta chama moja pekee ndio iliweza kuwa kwa uchaguzi.
Chama zote ziliwezeshwa kupingana katika Uchaguzi wa 1992
(2) Kenya-moi.jpg Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
7 29 Desemba
1992
29 Desemba
1997
1992 — 36.4% KANU
8 29 Desemba
1997
29 Desemba
2002
1997 — 40.6%
Daniel arap Moi alikuwa rais katika muda wa miaka ishirini na nne (24).
3 Mwai Kibaki 2011-07-08.jpg Mwai Kibaki
(1931– )
9 29 Desemba
2002
29 Desemba
2007
2002 — 61.3% NARC (2002-2007)
10 30 Desemba
2007
3 Aprili
2013
2007 — Haijulikani % PNU (2007-2013)
Mwai Kibaki alianzisha Ruwaza ya Kenya 2030 kusaidia Kenya ikuwe nchi ambayo imeendelea.
4 Uhuru Kenyatta.jpg Uhuru Kenyatta
(1961– )
11 4 Aprili
2013
Hadi Sasa 2013 — 50.07%
6,158,610
Jubilee Alliance
Mwana wa Rais wa kwanza wa Kenya Jomo Kenyatta.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]