Nenda kwa yaliyomo

Wakoloni wakuu wa Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya wakoloni wakuu wa Kenya (tarehe katika italiki zinaonyesha muendelezo wa ofisi) de facto

Muda wa Utawala Mtawala Vidokezo
Mamlaka ya Uingereza
25 Mei 1887 Maeneo ya pwani yalitolewa na Sultani wa Zanzibar kwa "British East Africa Association"
25 Mei 1887 hadi 3 Septemba 1888 Mheshimiwa William Mackinnon, Rais wa British East Africa Association
3 Septemba 1888 hadi 1889 Mheshimiwa William Mackinnon, Rais wa Imperial British East Africa Company
1889-1890 George Sutherland Mackenzie, Mtawala
Mei 1890 hadi Februari 1891 Francis Walter de Winton, Mtawala
Septemba 1891-1892 Lloyd William Matthews, Mtawala
Februari 1892-1893 Mheshimiwa Gerald Herbert Portal , Mtawala
British East Africa Protectorate
1 Julai 1895
Julai 1895-1897 Arthur Henry Hardinge, kamishna
1897 hadi Oktoba 1900 Mheshimiwa Arthur Henry Hardinge, kamishna
Desemba 1900-1904 Mheshimiwa Charles Eliot, kamishna
20 Juni 1904 hadi 1 Oktoba 1905 Mheshimiwa Donald William Stewart, kamishna
12 Desemba 1963 hadi 12 Desemba 1964 Mheshimiwa James Hayes Sadler, kamishna
31 Desemba 1905 hadi 1909 Mheshimiwa James Hayes Sadler, Gavana
16 Septemba 1909 hadi Julai 1912 Mheshimiwa Edouard Percy Cranwill Girouard, Gavana
3 Oktoba 1912 hadi 1917 Mheshimiwa Henry Conway Belfield, Gavana
1917-1919 Mheshimiwa Charles Calvert Bowring, Kaimu Gavana
22 Julai 1919 hadi 1920 Mheshimiwa Edward Northey, Gavana
Kenya Colony na Protectorate
1920-1922 Mheshimiwa Edward Northey, Gavana
15 Agosti 1922 hadi 1925 Mheshimiwa Robert Thorne Coryndon
2 Oktoba 1925 hadi 1930 Edward William Macleay Grigg
13 Februari 1931 hadi 1936 Mheshimiwa Joseph Aloysius Byrne
6 Aprili 1937 hadi 1939 Mheshimiwa Robert Brooke-Popham
9 Januari 1940 hadi 1944 Mheshimiwa Henry Monck-Mason Moore
11 Desemba 1944 hadi 1952 Mheshimiwa Philip Euen Mitchell
30 Septemba 1952 hadi 1959 Mheshimiwa Evelyn Baring
23 Oktoba 1959 hadi 1962 Mheshimiwa Muir Patrick Renison
4 Januari 1963 hadi 12 Desemba 1963 Malcom John MacDonald
12 Desemba 1963 Uhuru kama Kenya

Kwa mfululizo baada ya uhuru, angalia: Wakuu wa Nchi ya Kenya

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]