Dini nchini Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Dini nchini Kenya
Ukristo
  
82.5%
Uislamu
  
11.1%
Dini za jadi
  
1.6%
Kupunguza: CIA World Factbook (2009)[1]

Kulingana na sensa ya mwaka 2009, asilimia 82.5 ya wakazi wa Kenya walikuwa Wakristo (asilimia 47.4 ni Waprotestanti, asilimia 23.3 ni Wakatoliki, asilimia 11.8 ni Wakristo wa madhehebu mengine mbalimbali), asilimia 11.1 ni Waislamu, asilimia 1.6 ni wafuasi wa dini ya jadi. asilimia 1.7 ni wa makundi mengine ya dini, na asilimia 2.4 wanadai hawana uhusiano na dini yoyote ile.[1]

Ukristo katika Kenya[hariri | hariri chanzo]

Kanisa la Kikristo huko Mombasa

Uislamu katika Kenya[hariri | hariri chanzo]

Mskiti wa Kiislamu katika kisiwa cha Lamu.

Asilimia 60% ya idadi ya Waislamu huishi katika Mkoa wa Pwani, wakiwa asilimia 50% ya jumla ya wakazi wake.

Dini za jadi Afrika[hariri | hariri chanzo]

Uhindu katika Kenya[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. 1.0 1.1 The World Fact Book: Kenya. Iliwekwa mnamo 21 Juni 2014.