Msikiti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mskiti)
Msikiti ni mahali pa ibada kwa waumini wa dini ya Uislamu, ambapo lengo kuu ni kutekeleza wajibu wa sala chini ya imamu. Hata hivyo ukumbi unaweza kutumika pia kwa kuelimishana na kujadiliana, kama ilivyokuwa kwa masinagogi ya Wayahudi.
Waislamu wengi mara nyingi huita msikiti kwa kutumia jina la Kiarabu, ambalo ni masjid - مسجد — inatamkwa [ˈmæsʤɪd] (wingi wake ni: masajid kwa Kiarabu: مساجد — inatamkwa /mæˈsæːʤɪd/).
Kutoka Uarabuni misikiti imeenea duniani kote, ikiunganishwa mara nyingine na minara.
Baadhi yake inatumia sanaa ya hali ya juu.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Local Mosques
- Ottoman: Art and the Culture - provides information on Ottoman mosques and architecture
- World Mosques
- The Martyred Mosques Ilihifadhiwa 2 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. On the Seven Mosques of Medina
- A review of Mosque Architecture
- Islam in Keighley Ilihifadhiwa 2 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Darul Ishaat - keighley based Online Islamic store Ilihifadhiwa 1 Juni 2019 kwenye Wayback Machine.
- mosque: Photos, Videos on Technorati Ilihifadhiwa 18 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Local Mosques at Islamicity Ilihifadhiwa 6 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mosques From Around the World Ilihifadhiwa 9 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mosques From Around the World at Islamicity
- High-res photo gallery of world wide mosques Ilihifadhiwa 26 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Mosques - Great Buildings Online
- LexicOrient- Mosques Ilihifadhiwa 8 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Mosques in Egypt
- Mosques in Singapore Ilihifadhiwa 26 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- American Mosques Ilihifadhiwa 11 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mosques at sacred destinations Ilihifadhiwa 13 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- A directory of UK mosques, with mosque address Ilihifadhiwa 8 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- The mosque in Islamic religion
- Architectural features of mosques Ilihifadhiwa 17 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
- Islamic Architecture
- Mosque Online - Assisting Mosques get Online Free Ilihifadhiwa 10 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu Uislamu bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |