Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Marais wa Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rais wa Kenya)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Orodha ya marais wa Kenya ni kama ifuatavyo:

Picha Chama Jina Muda
KANU Jomo Kenyatta
(1893 – 1978)
12 Desemba
1964
6 Desemba
1969
6 Desemba
1969
14 Octoba
1974
14 Octoba
1974
22 Agosti
1978 (Alifariki akiwa Rais)
Katika muda huu, Makamu wa Rais Daniel Arap Moi alikuwa anasimamia Cheo/Kiti cha Rais.
KANU Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
8 Novemba
1979
26 Septemba
1983
26 Septemba
1983
21 Machi
1988
21 Machi
1988
29 Desemba
1992
Vyama vyote viliwezeshwa kushiriki katika Uchaguzi wa 1992.
KANU Daniel Arap Moi
(1924 – 2020)
29 Desemba
1992
29 Desemba
1997
29 Desemba
1997
29 Desemba
2002
NARC/PNU Mwai Kibaki
(1931– 2022)
29 Desemba
2002
29 Desemba
2007
30 Desemba
2007
3 Aprili
2013
Chama cha Jubilee Uhuru Kenyatta
(1961– )
4 Aprili
2013
2017
25 Novemba
2017
13 Septemba
2022
United Democratic Alliance (Kenya) William Ruto
(1966- )
13 Septemba
2022
2027
Bendera ya Rais ya William Ruto

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]