Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Orodha ya vyama vya kisiasa Kenya ina mfumo wa kisiasa unaoweza kulinganishwa na mfumo wa vyama viwili, maana pana ugumu kwa chama kimoja kujipatia ufanisi kipekee katika uchaguzi bila usaidizi kutoka kwa chama au vyama vingine. Ni mfumo wa vyama vingi, muungano tawala baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007 (uliokuwa na utata) linajumuisha vyama kadhaa.

Kenya ilikuwa na zaidi ya vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa 160 kufikia mwezi wa Novemba mwaka wa 2007 [1] lakini kufuatia kupitishwa kwa sheria maalum ya vyama vya kisiasa tarehe 31 Desemba 2008, idadi ya vyama vilivyoandikishwa ilianguka hadi 38 huku vyama kadhaa vikiongezewa muda wa kujilainisha na sheria hii mpya.[1][2][2][3][3]

Vyama[hariri | hariri chanzo]

Vyama Vilivyopewa cheti cha kusajiliwa[hariri | hariri chanzo]

Vyama vinavyongoja cheti cha kusajiliwa[hariri | hariri chanzo]

Vyama vya kihistoria[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

  • Orodha ya vyama vya kisiasa kwa itikadi
  • UUanachama wa vyama vya kisiasa kwenya miungano ya kimataifa na uanachama wa kimataifa

References[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 [1] ^ Tume ya Uchaguzi ya Kenya, 17 Novemba 2007: Orodha ya vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa
  2. 2.0 2.1 3] ^ Unregistered political parties handed a lifeline http://www.bdafrica.com/index.php?option=com_content&task=view&id=12116&Itemid=5822
  3. 3.0 3.1 [2] ^ 30 parties meet deadline for new law http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/509254/-/yi06h3z/-/index.html
  4. Leaders keep supporters guessing on parties as registration deadline passes ,Daily Nation 30-04-2012