Nenda kwa yaliyomo

Kenya National Congress

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenya National Congress ni chama cha siasa nchini Kenya kilichoanzishwa mwaka 1992 siku wakati wa siku za kwanza ya kurudi kwa Demokrasia ya vyama vingi kama matokeo ya mgawanyiko katika FORD-Asili.[1] Mara kwa mara, imekuwa ikiwajumuisha wagombea katika uchaguzi mkuu tangu mwaka 1992 katika ngazi ya Ubunge.

Chama hichi kilimdhamini mbunge wa Gatanga Peter Kenneth, ambaye alionyesha jitihada zake za urais kwenye tiketi ya chama,[2][3] pamoja na muungano kati yake na Raphael Tuju wa Chama cha Action[4] Malengo yaliyowekwa na KNC kwa mujibu wa tovuti yake rasmi, ni 'Kenya kama taifa lenye ufahari na mafanikio ambalo linatunza raia wake wote na mali zao matumaini ni kujiamini na kufanikiwa miongoni mwa Wakenya wote ndani na nje ya nchi'.[5]


Vyungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  1. Making of a Nation, ep. A Divided House 1992-1997, Hillary Ngweno
  2. "Kenya: Kenneth Delivered Genuine Manifesto". allAfrica.com. 6 Novemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Peter Kenneth launches presidential bid". Ghettoradio.co.ke. 5 Novemba 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-18. Iliwekwa mnamo 2022-03-16.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.the-star.co.ke/news/article-98303/kenneth-signs-pact-tuju Archived 2013-02-18 at Archive.today Kigezo:Bare URL inline
  5. "Kenyanationalcongress.com".