Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya miji ya Kenya inaonyesha miji yote nchini Kenya iliyokuwa na angalau wakazi 30,000 mwaka 2005. Wakati wa sensa ya mwaka 2009 miji kama hiyo ilikuwa zaidi ya 100.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 kulikuwa na miji 22 yenye watu zaidi ya 100,000, nusu yake ikiwa katika rundiko la mji la Nairobi[1]

Miji ya Kenya
#MjiWakaziKaunti
Sensa 1969Sensa 1979Sensa 1989Sensa 1999Sensa 2009Sensa 2019
1.Nairobi509.286827.7751.324.5702.143.2543,138,3694,397,073Kaunti ya Nairobi
2.Mombasa247.073341.148461.753665.018939,0001,208,333Kaunti ya Mombasa
3.Nakuru47.15192.851163.927219.366307,990570,674Kaunti ya Nakuru
4.Ruiru1.6741.71823.31679.741238,858490,120Kaunti ya Kiambu
5.Eldoret18.19650.503111.882167.016289,380475,716Kaunti ya Uasin Gishu
6.Kisumu32.431152.643192.733322.734500,000397,957Kaunti ya Kisumu
7.Machakos6.31284.320116.293144.109150,041150,041Kaunti ya Machakos
8.Meru4.47572.04994.947126.427240,900240,900Kaunti ya Meru
9.Nyeri10.00435.75391.25898.908225,357125,357Kaunti ya Nyeri
10.Kitale11.57328.32756.21886.055106,187162,174Kaunti ya Trans-Nzoia
11.Kericho10.14429.60348.51182.126104,282104,282Kaunti ya Kericho
12.Thika18.38741.32457.60382.665139,853251,407Kaunti ya Kiambu
13.Kakamega6.24432.02558.86273.60799,987107,227Kaunti ya Kakamega
14.Garissan.b.14.07631.31950.955119,696163,399Kaunti ya Garissa
15.Kisii6.08029.66144.14959.248200,000112,417Kaunti ya Kisii
16.Malindi10.75723.27534.04753.805207,253119,859Kaunti ya Kilifi
17.Webuyen.b.17.96327.75848.80622,50765,280Kaunti ya Bungoma
18.Migori2.066n.b.12.27431.644100,000100,000Kaunti ya Migori
19.Bungoma4.40125.16126.80544.19654,46981,151Kaunti ya Bungoma
20.Wajirn.b.6.38419.38232.23782,80082,800Kaunti ya Wajir
21.Busia1.0575.26620.78130.77751,98161,715Kaunti ya Busia
22.Homa Bay3.2527.48923.33532.17459,84459,844Kaunti ya Homa Bay
23.Kilifi2.662n.b.14.14530.394122,899122,899Kaunti ya Kilifi
24.Mumias697n.b.23.66836.158116,358116,358Kaunti ya Kakamega
25.Naivasha6.92011.49134.51932.222181,966198,444Kaunti ya Nakuru
26.Maragua1.2306.98030.93127.38427,38432,315Kaunti ya Murang'a
27.Mandera94613.12622.69930.43387,692114,718Kaunti ya Mandera
28.Embu3.92815.98626.52531.50041,09260,673Kaunti ya Embu
29.Nanyuki11.62418.98624.07031.57749,23349,233Kaunti ya Laikipia
30.Narok2.608n.b.11.62924.09167,50567,505Kaunti ya Narok
31.Ngong1.583n.b.8.77520.701107,188102,323Kaunti ya Kajiado
32.Isiolo8.20111.33116.82428.85446,12846,128Kaunti ya Isiolo
33.Nyahururu7.60211.27714.82924.75136,45051,434Kaunti ya Laikipia
34.Ongata Rongain.b.n.b.17.28825.00020,87840,178Kaunti ya Nakuru
Nairobi
Mombasa
Kisumu
Nakuru
Eldoret

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]