Kaunti ya Kisumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Kaunti ya Kisumu, Kenya
Uwanja wa ndege wa Kisumu, kenya

Kaunti ya Kisumu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,155,574 katika eneo la km2 2,085.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 554 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Kisumu.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Kisumu ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Kisumu ya Kati Railways, Migosi, Shaurimoyo, Kaloleni, Market Milimani, Kondele, Nyalenda B
Kisumu Mashariki Kajulu, Kolwa East, Manyatta 'B', Nyalenda 'A', Kolwa Central
Kisumu Magharibi South West Kisumu, Central Kisumu, Kisumu North, West Kisumu, North West Kisumu
Muhoroni Miwani, Ombeyi, Masogo/Nyang'oma, Chemelil/Muhoroni, Koru
Nyakach South East Nyakach, West Nyakach, North Nyakach, Central Nyakach, South West Nyakach
Nyando East Kano, Awasi/Onjiko, Ahero, Kabonyo/Kanyag Wal, Kobura
Seme West Seme, Central Seme, East Seme, North Seme

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3][hariri | hariri chanzo]

  • Kisumu East 220,997
  • Kisumu Central 174,145
  • Kisumu West 172,821
  • Seme 121,667
  • Muhoroni 154,116
  • Nyando 161,508
  • Nyakach 150,320

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kisumu-county/
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.