Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Nyando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Nyando ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo matatu ya Kaunti ya Kisumu.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzisha wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963 lakini kwa uchaguzi uliofuatia mnamo 1966 jimbo hili liligawanwa na kuunda jimbo ipya la Nyakach, huku sehemu za Jimbo la Winam zikishirikishwa katika Jimbo hili la Nyando[1].

Uchaguzi Mbunge Chama Vidokezo
1963Okuto BalaKANU
1966Okuto BalaKANU
1969T. O. OgadaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Matthew C. Onyango MidikaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Matthew C. Onyango MidikaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983T. O. OgadaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988James Miruka OwuorKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Clarkson Otieno KaranFord-K
1997Paul Orwa OtitaNDP
2002Eric Opon NyamungaNARC
2007Frederick Outa OtienoODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojiandikisha
Serikali ya Mtaa
Kakola6,441Ahero (mji)
Kochogo3,510Ahero (mji)
Kombura / Katho4,873Ahero (mji)
Onjiko / Wawidhi6,697Ahero (mji)
Awasi5,844Nyando County
Bwanda / Kanyagwal3,111Nyando County
Kawino5,044Nyando County
Kikolo (East Kano)2,722Nyando County
Kochieng'6,441Nyando County
Jumla44,683
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]