Embu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Embu, Kenya)
Jump to navigation Jump to search
Embu


Embu

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Kenya" does not exist.Mahali pa mji wa Embu katika Kenya

Majiranukta: 0°32′0″S 37°27′0″E / 0.53333°S 37.45°E / -0.53333; 37.45
Nchi Kenya
Kaunti Embu
Idadi ya wakazi
 - 60,673

Embu ni mji wa Kenya upande wa kusini-mashariki wa Mlima Kenya. Umbali na Nairobi ni km 120. Embu ni makao makuu ya Kaunti ya Embu.

Mji uko kwenye kimo cha mita 1,350 juu ya UB. Uliundwa na walowezi Waingereza mnamo mwaka 1906.

Wakazi walikuwa 60,673 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

Kuna asilimia kubwa ya watumishi wa serikali hapa wanaofanya kazi kwenye ofisi na shule nyingi zilizopo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.