Kaunti ya Samburu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Samburu
Kaunti
Brick construction samburu.jpg
Uundaji wa matofali katika Samburu
Flag of Samburu County.png Coat of Arms of Samburu County.png
Bendera Nembo ya Serikali
Samburu County in Kenya.svgSamburu County in Kenya.svg
Kaunti ya Samburu katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 25
Ilianzishwa Machi 4, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Bonde la Ufa
Makao Makuu Maralal
Miji mingine Baragoi, Archers Post, South Horr, Wamba, Lodosoit
Gavana Moses Kasaine Lenolkulal
Naibu wa Gavana Julius Lesseto Lawrence
Seneta Steve Lelegwe
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Maison Leshoomo
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Samburu
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa 15
Maeneo bunge/Kaunti ndogo 3
Eneo 20,182.5 km2 (7,792.5 sq mi)
Idadi ya watu 223,947
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti samburu.go.ke

Kaunti ya Samburu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Maralal.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Samburu ina eneo la 20,182.5 km2 (7,792.5 sq mi). Imepakana na Marsabit, Turkana (kaskazini), Isiolo (mashariki), Laikipia (kusini) na Baringo (mashariki).

Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu.

Msitu Loroki, Hifadhi ya Taifa ya Samburu, Hifadhi ya Taifa ya Bisanadi na Hifadhi ya Taifa ya Buffalo springs hupatikana Samburu. Kaunti hiyo pia ina Mlima Ng'iro, Milima Ndoro na Ol Doinyo Lenkiyo[1].

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya samburu ina maeneo bunge yafuatayo:

Maeneo bunge Wadi
Samburu Mashariki Waso, Wamba Magharibi, Wamba Mashariki, Wamba Kaskazini
Samburu Kaskazini El-Barta, Bachola, Ndoto, Nyiro, Angata Nayokie, Baawa
Samburu Magharibi Lodokejek, Suguta Marmar, Maralal, Loosuk, Porro

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. eLimu | Counties in Kenya (en). learn.e-limu.org. Iliwekwa mnamo 2018-10-17.