Kakamega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mji wa Kakamega
Mji wa Kakamega is located in Kenya
Mji wa Kakamega
Mji wa Kakamega
Mahali pa mji wa Kakamega katika Kenya
Viwianishi: 0°17′0″N 34°45′0″E / 0.28333°N 34.75°E / 0.28333; 34.75
Nchi Kenya
Mkoa Magharibi
Wilaya Kakamega
Idadi ya wakazi
 - 12,000

Kakamega ni makao makuu ya Mkoa wa Magharibi wa Kenya. Mji una wakazi 73,607 (sensa ya 1999). Wenyeji ni hasa Waluhya.

Kakamega iko takriban 100 km kaskazini ya Kisumu.

Tangu mwaka 2006 chuo cha ufundi Kakamega kilipandishwa cheo kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).