Nenda kwa yaliyomo

Wajir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wajir
Nchi Kenya
Kaunti Wajir
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 82,800
Wajir kutoka angani.

Wajir ni mji wa Kenya kaskazini-mashariki ambao ni makao makuu ya Kaunti ya Wajir.

Wakazi walikuwa 82,800 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wengi wao ni Wasomali.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.